Bwana u sehemu yangu

  • Post author:
  • Post published:
  • Post category:Blog

Bwana u sehemu yangu

1. Bwana u sehemu yangu Rafiki yangu Wewe,
Katika safari Yangu; Tatembea na Wewe

Pamoja na wewe (x2)
Katika safari yangu, Tatembea na wewe.

2. Mali hapa sikutaka; Ili Niheshimiwe;
Na yanikute mashaka, Sawasawa na wewe

3. Niongoze safarini, Mbele Unichukue;
Mlangoni Mwa mbinguni, Niingie na Wewe.