Site is Loading, Please wait...
Skip to content
  • Home
  • About Us
  • Departments
  • Watch
  • Resources
  • Give
  • Contact Us
Menu Close
Toggle the button to expand or collapse the Menu
  • Home
  • About Us
  • Departments
  • Watch
  • Resources
  • Give
  • Contact Us

Ni tabibu wa karibu

  • Post published:
  • Post category:Blog

Ni tabibu wa karibu

1. Ni tabibu wa karibu Tabibu wa ajabu,
Na rehema za daima Ni dawa yake njema.
imbeni malaika sifa za Yesu Bwana
pweke limetukuka Jina lake Yesu

(more…)

Continue ReadingNi tabibu wa karibu

Sioni haya kwa Bwana

  • Post published:
  • Post category:Blog

Sioni haya kwa Bwana

1. Sioni haya kwa Bwana, Kwake nitang’ara!
Mti wake sitakana, Ni neno imara.

(more…)

Continue ReadingSioni haya kwa Bwana

Bwana u sehemu yangu

  • Post published:
  • Post category:Blog

Bwana u sehemu yangu

1. Bwana u sehemu yangu Rafiki yangu Wewe,
Katika safari Yangu; Tatembea na Wewe

(more…)

Continue ReadingBwana u sehemu yangu

Cha kutumaini sina

  • Post published:
  • Post category:Blog

Cha kutumaini sina

1. Cha kutumaini sina Ila damu yake Yesu
Sina wema wa kutosha dhambi zangu kuziosha.
Kwake Yesu nasimama, ndiye mwamba ni salama,
Kwake Yesu nasimama, ndiye mwamba ni salama

(more…)

Continue ReadingCha kutumaini sina

Liko lango moja

  • Post published:
  • Post category:Blog

Liko lango moja Wazi

1. Liko lango moja Wazi,Ni lango la Mbinguni,
Na wote Waingiao Watapata nafasi.
Lango ndiye Yesu Bwana Wote Waingie Kwake,
Lango! LangoLa Mbinguni ni wazi.

(more…)

Continue ReadingLiko lango moja

Kumtegemea Mwokozi

  • Post published:
  • Post category:Blog

Kumtegemea Mwokozi

1. Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa,
Kukubali neno lake, Nina raha moyoni.
Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti;
Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli.

(more…)

Continue ReadingKumtegemea Mwokozi
  • Go to the previous page
  • 1
  • 2
Copyright © 2025. Proudly Powered by: FGCK Meru Town +254721443990